Player_logo Podcasts Community Create a Podcast
Maalim Seif juu ya maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika
December 09, 2011 12:11 PM PST
itunes pic

"Hatua zimepigwa ndani ya miaka 50, na miaka 50 mingine hatua kubwa zaidi zitapigwa."

Imechukuliwa kutoka matangazo ya jioni ya Deutsche Welle, tarehe 09 Disemba 2011.

Mahojiano ya Maalim Seif na Deutsche Welle juu ya Siku 100 za GNU
December 05, 2011 12:17 PM PST
itunes pic

"Nina imani sana na Rais Dkt. Ali Mohammed Shein. Ana dhamira na ana uwezo wa kuongoza Serikali ya Umoja wa Kitaifa." Maalim Seif